Museke African

Utwory wykonawcy:

Jambo bwana

Chorus Jambo Jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni mwakaribishwa Kenya yetu Hakuna matata Verse Kenya nchi nzuri Nchi ya maajabu Nchi ya kupendeza Hakuna matata ad lib Kenya yetu Hakuna matata Kenya wote